
MADRID NA KISHINDO FAINALI KOMBE LA DUNIA
HALI ya hewa hapa ni baridi kali lakini haizuii joto la mechi ya fainali ya Kombe la Dunia la Klabu kuwa juu. Licha ya kwamba hakuna timu ya Morocco baada ya Wydad ambao ni mabingwa wa Afrika kutolewa mapema, bado hamu kubwa ya mashabiki ni kuiona Real Madrid. Madrid watacheza fainali hiyo leo Jumamosi kwenye…