
NGOMA NGUMU HIGHLAND ESTATE
HAKUNA mbabe ndani ya dakika 90 baada ya kutoshana nguvu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Wakati Ihefu ikigawana pointi mojamoja na Singida Big Stars kwa kufungana bao 1-1 nyota Nivere Tigere penalti yake imeokolewa na mlinda mlango Benedict Haule. Mchezo huo umechezwa leo Februari 12 huko Mbeya,Mbarali. Ngoma Uwanja wa Highland ilikuwa ngumu kwa…