MORRISON:TUNAFUZU,TUNAJIAMINI

BERNARD Morrison, kiungo wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco amesema kuwa wanaamini kwamba watafuzu hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho. Kichapo cha mabao 3-0 mbele ya ASEC Mimosas jana Machi 20,2022 kiliyeyusha matumaini ya Simba kutangulia katika hatua ya robo fainali hivyo wana kazi ya kufanya Uwanja wa Mkapa. “Tunajiamini, tunajiamini na…

Read More

MASHABIKI RUKSA MECHI YA SIMBA V RED ARROWS KWA MKAPA

MASHABIKI 35,000 ni ruksa kuushuhudia mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 28. Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Afrika, (CAF) ni mashabiki hao wataruhusiwa kuwa ndani ya uwanja kushuhudia mchezo huo. Na pia mashabiki hao wanapaswa kufuata taratibu na kanuni za kujilinda dhidi ya Corona. Unatarajiwa kuwa mchezo mkali…

Read More

KIKOSI CHA STARS AFCON HIKI HAPA,MBWANA, FEI NDANI

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Adel Amrouche ametangaza kikosi kitakachocheza michezo miwili ya kufuzu Afcon dhidi ya Uganda mechi mbili namna hii:- Aishi Manula, (Simba) Beno Kakolanya, (Simba) Metacha Mnata, (Yanga) Kibwana Shomari, (Yanga) Datius Peter, (Kagera Sugar) Yahya Mbegu, (Ihefu) David Luhende, (Kagera Sugar) Dickson Job, (Yanga) Bakari Mwamnyeto,…

Read More

ISHU YA KAMBI YA YANGA MORO IPO HIVI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa suala la kambi kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 lipo mikononi mwa benchi la ufundi. Mpango wa awali wa Yanga kuweka kambi ilikuwa ni nchini Tunisia na imeelezwa kuwa mpango huo umewekwa kando kutokana na muda kutajwa kuwa mdogo. Pia habari zinaeleza kuwa kwa sasa wanatarajia kwenda kuweka kambi…

Read More

BALOTEL AINGIA ANGA ZA MPAPPE

2022 ulikuwa mwaka mzuri kwa ulimwengu wa soka. Ni mwaka uliojaa aina ya mabao ya ajabu na ni wakati wa kuangalia malengo haya na kuchagua bora zaidi ya kura. Wateule wa Tuzo za Puskas 2022 wametangazwa na inaangazia baadhi ya wale ambao walifanya vizuri kwenye utupiaji wa mabao. Tuzo ya Puskas ni sehemu ya mfululizo…

Read More

YANGA: LIGI BADO MBICHI KABISA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa bado ligi ni mbichi wana muda wa kuendelea kupambana katika kutimiza malengo yao ya kutwaa ubingwa. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi baada ya kutwaa msimu wa 2022/23. Ipo chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Gamondi baada ya kukiongoza kikosi hicho kwenye mechi tano ni shuhuda…

Read More

UTARATIBU WA KUINGIA KWA MKAPA LEO HUU HAPA

CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) amesema utaratibu wa kuingia kwa mashabiki Uwanja wa Mkapa utaanza saa sita kamili. Leo timu ya Taifa ya Tanzania ina kiarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Uganda ambao ni wa kuwania kufuzu Afcon. Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Misri uba ulisoma Uganda 0-1…

Read More

AZAM FC WAJA NA AZAMKA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa msimu huu wanakuja tofatauti katika tamasha lao ambapo litakuwa mikononi mwa mashabiki.  Thabit Zakaria,Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa watakuwa na tamasha maalumu linalokwenda kwa jina la AZAMKA ambalo ni kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wao lakini watakaoandaa mpango kazi ni mashabiki wa Azam FC. Kwa sasa…

Read More

CHAMA ANAIWAHI COASTAL UNION

CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba kuna asilimia kubwa akaibuka kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ambao ni wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Januari 28, Uwanja wa Mkapa, Dar. Chama hakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichoshuhudia ubao wa Uwanja wa Jamhuri ukisoma Dodoma Jiji 0-1 Simba kwa bao la Jean Baleke kwa kile…

Read More