
ABDUTWALIB MSHERY, KIPA WA YANGA, AMEFUNGA NDOA
Abdutwalib Mshery, kipa wa Young Africans SC, amefunga ndoa rasmi.
Abdutwalib Mshery, kipa wa Young Africans SC, amefunga ndoa rasmi.
Jumanne ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza na EPL kule Uingereza leo, vijana wa Marco Silva Fulham, watasafiri kupepetana dhidi ya Wolves ambao walishinda mechi yao iliyopita, huku mwenyeji yeye akicheza kichapo…
BAADA ya Februari 24 2025 ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 2-2 Azam FC mabosi hao wakigawana pointi mojamoja na matajiri wa Dar, Azam FC, Simba wametoa tamko lao kuhusu aina ya matokeo hayo. Kupitia kwenye ukurasa wa Instagram wa Ahmed Ally ambaye ni Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameandika namna…
KIUNGO wa Yanga, Pacome amesema kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi kwenye mechi ambazo wanacheza uwanjani wakiwa hawana muda wakupoteza kwa sasa. Katika mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 0-5 Yanga huku Pacome akichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo na alitoa…
REKODI ya kipa namba moja wa Simba, Mousa Camara kuvuna hati safi mbele ya Azam FC kwa mara nyingine tena mzunguko wa pili, Februari 24 2025 iligonga mwamba kwa kushuhudia akitunguliwa mabao mawili ndani ya dakika 90. Mapema Camara alitunguliwa dakika ya kwanza na nyota wa Azam FC, Gibrill Sillah na bao hilo liliwekwa usawa…
BEKI wa kazi Wilson Nangu miongoni mwa wachezaji ambao wanavuja jasho ndani ya JKT Tanzania ambayo ipo ndani ya 10 bora anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Kariakoo ambao ni Simba na Yanga wote wakiwa katika hesabu za kuinasa saini yake. Ipo wazi kuwa katika eneo ambalo JKT Tanzania haijawa imara sana ni eneo…
Mchezo pendwa wa kasino wa Aviator unaendelea kuhakikisha wadau na wapenzi wa michezo ya wanapiga mamilioni ya kutosha, Kwani hivi karibuni imefanikiwa kutoa mshindi mpya ambaye amejishindia kiasi cha milioni 44. Mteja huyo anayefahamika kwa utambulisho wa HN amefanikiwa kushinda kiasi hicho cha pesa kwa kutumia dau dogo tu, Kwani bwana HN aliweka kiasi cha…
BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC ambao ni Mzizima Dabi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Februari 24 2025. Simba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza walipata ushindi wa mabao 2-0 ubao ukifunguliwa na Leonel Ateba ambaye alifunga bao lake la kwanza…
VINARA wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, kasi yao imezidi kuwa kwenye kwenye eneo la ushambuliaji huku wakivuna pointi tatu nje ndani mbele ya Mashujaa na ndani ya dakika 180 wamevuna pointi sita msimu wa 2024/25. Kwenye idadi ya mabao ya kufunga Yanga imezidi kuongeza hazina yake ikiwapoteza Simba kwenye…
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imefuta adhabu ya kadi nyekundu (Red Card) aliyooneshwa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi na mwamuzi wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Namungo dhidi ya Simba Sc. Taarifa ya leo Februari 23, 2025 iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa…
Mchezo wa ‘Derby’ ya Mzizima kati ya Simba Sc dhidi ya Azam utakayopigwa Jumatatu Februari 24, 2025 umehamishwa kutoka uwanja wa KMC Complex, Mwenge sasa utapigwa Katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Chang’ombe Taarifa ya leo Februari 22, 2025 iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeeleza kuwa mchezo huo utachezwa majira ya saa 1:00…
AMEONYESHA balaa lake mwamba Camara ndani ya Simba kuanza Mzizima Dabi/ Kariakoo Dabi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.
Jumapili ya leo inaweza kua ya shangwe kwako kwani itakwenda kupigwa michezo ya kutosha ambapo unaweza kushinda mkwanja mzito wa mpaka milioni 300 kwa tiketi moja tu kupitia (Maximum payout) ya Meridianbet. Leo Max payout inaweza kukunufaisha kwani kutakua na michezo mikali katika ligi mbalimbali barani ulaya kuanzia pale ligi pendwa nchini Uingereza, Italia, Hispania,…
LIGI namba nne kwa ubora inaendelea kuchanja mbunga ambapo l Februari 22 kunatarajiwa kuchezwa mechi mbili kali za kukata na shoka kwa wababe kuwa ndani ya uwanja. Issa Liponda maarufu kama Mbuzi ambaye ni Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa wapo tayari kusepa na pointi tatu muhimu ugenini kutokana na maandalizi ambayo wamefanya….
KUELEKEA Mzizima Dabi mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa wababe hawa wawili kuna mkali wa mabao ya mbali yupo ndani ya kikosi cha Azam FC huenda akawapa tabu wapinzani wao wakikutana ndani ya dakika 90 za kuvuja jasho. Ni Yoro Diaby nyota wa Azam FC anashikilia rekodi yakuwa nyota aliyefunga bao kwa umbali mrefu…
Katika kuendelea na juhudi zake za kusaidia maendeleo ya michezo nchini, kampuni ya Meridianbet leo imetoa msaada wa jezi kwa timu ya Rising Star FC na Kamili Gado. Msaada huu ni sehemu ya dhamira ya Meridianbet kuhamasisha na kukuza michezo, hasa soka, na kutoa fursa kwa wachezaji kuonyesha uwezo wao kwa ufanisi. Timu ya Rising…
MZEE wa Waa Steven Mukwala amekabidhiwa jezi nzito ndani ya timu hiyo kutokana na kasi yake kutokuwa kwenye ubora ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani ndani ya msimu wa 2024/25.