
LEO TUNAREJEA UWANJANI KUSAKA PESA, LALIGA, MAN UTD KUKIWASHA
Siku hii ya leo tunarejea uwanjani kusaka pesa, ambapo ili kuzipata sasa hizo pesa lazima ubashiri na wakali wa ubashiri Meridianbet. Kuanzia pale Uingereza, mpaka kule Ufaransa mechi za pesa zipo. Ligi kuu ya Hispania LALIGA itarindima kwa mechi kibao ambapo Leganes atamleta kwake Getafe ambapo nafasi ya kushinda leo amepewa mgeni kwa ODDS 2.80…