
YANGA SC YAVUNA SITA POINTI MBELE YA NAMUNGO
YANGA SC imevuna pointi sita mbele ya wapinzani wao Namungo FC kwa kupata ushindi kwenye mechi zote mbili ambazo walikutana ndani ya uwanja katika dakika 180 za kusaka pointi. Ikumbukwe kwamba Mei 13 2025 ulikuwa ni mchezo wa mzunguko wa pili baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma Yanga SC 3-0…