
GEITA GOLD 0-2 SIMBA
MABAO mawili yamepachikwa ndani ya dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Mwanza. Ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba unasoma Geita Gold 0-2 Simba. Ni John Bocco nahodha wa Simba amepachika bao la kuongoza dakika ya 11 kisha kamba ya pili ni mali ya Clatous Chama. Chama amepachika bao hilo dakika ya…