
MIDO AS VITA AFUNGUKA KUTUA YANGA
KIUNGO wa kimataifa wa Togo anayekipiga katika Klabu ya AS Vita, Marouf Tshekai ni kama amekubali kujiunga na klabu ya Yanga mara baada ya kuweka wazi kuwa yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa masharti. Marouf ambaye amekuwa kiungo bora wa Ligi Kuu ya DR Congo kwa misimu miwili mfululizo ni moja kati ya wachezaji…