
HUYU HAPA ALIMJAZA NKANE KUHUSU KUCHEZA MUUNGANO CUP
KIUNGO wa Yanga, Dennis Nkane ameweka wazi kuwa aliambiwa na kiungo mshambuliaji Maxi Nzengeli kwamba atapata nafasi kwenye mechi za Muungano Cup, Zanzibar. Nkane ndani ya Yanga kwenye mechi za ushindani hajawa na nafasi ya kwanza kikosi cha kwanza ambapo Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 70 baada yakucheza mechi 26. Alipata nafasi…