
BEKI LA KAZI LIMEREJEA KUWAKABILI MASHUJAA FC
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Che Malone amerejea na huenda akawa sehemu ya wachezaji watakaokuwa kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Ipo wazi kwamba beki huyo alikuwa nje kwa muda mrefu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa MzizmaDabi uliochezwa Uwanja…