
NIDHAMU IWE NA MWENDELEZO KWENYE LIGI KUU BARA
MWENDELEZO wa ligi unatarajia kurejea kwa kasi kutokana na kila timu kuwa na shauku ya kupata pointi tatu muhimu. Huu ni mzunguko wa pili ambao hauna chaguo la nani atafungwa iwe nyumbani ama ugenini mambo yamebadilika sana siku hizi. Haya yote yanatokana na ushindani uliopo kwani hata zile ambazo zinajiita timu kongwe zimekuwa zikipata ugumu…