
SIMBA WAIFUNGIA KAZI YANGA, WAWEKA MKWANJA WA MAANA
Mabosi wa Simba wameamua kuifungia kazi Yanga inayonolewa na Kocha, Nasreddine Nabi kwani wamesema hawataki chochote zaidi ya ushindi katika Kariakoo Dabi. Kutokana na jambo hilo tayari wameandaa bonasi ya kutosha ya zaidi ya Sh 300 Mil kwa wachezaji ili kufanikisha ushindi Jumapili. Katika mchezo huo, Simba wataingia wakiwa na hasira ya kufungwa mara mbili…