
VINARA WA LIGI KUFANYIWA MAZOEZI MAALUMU
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wachezaji wao wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 16 huku wachezaji wote wakiwa fiti. Miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao hawakuwa fiti hivi karibuni ni Shomari Kapombe aliyepata maumivu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa…