


Ukicheza Kasino ya Mtandaoni Meridianbet unapata Mgao wa Tsh 5m Bure
Promosheni Kabambe ya Endorphina Kuutafuta utajiri ni rahisi sana kama ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa sababu kila siku wanakuja na promosheni za kibabe kwaajili yako. Ukiweka kando michezo ya kubashiri soka, kuna bonasi na machaguo kibao. Hivyo saka utajiri kwa kucheza kasino ya mtandaoni kila siku na ujiweke kwenye nafasi ya kushinda mgao…

CHAMPIONSHIP NI YETU SOTE INATUHUSU
USHINDANI uliopo ndani ya Championship ikiwa ni mzunguko wa 25 unazidi kuleta raha ya kuifuatilia na kuona namna gani kila mmoja anavuna kile alichopanda. Kila timu inapambana kwa nafasi yake kutafuta ushindi kwa kuwa hakuna timu inayopenda kubaki pale ambapo ipo kwa muda mrefu ukizingatia kwamba kupanda daraja ni mafanikio. Uendeshaji wake ulivyo na namna…

VIDEO:MSIKIE MZEE MUCHACHU KUHUSU USAJILI
MSIKE Mzee Muchachu kuhusu usajili amtaja Fei Toto

MGUNDA AKABIDHIWA SHOO YA NABI
MABOSI wa Simba wameshtukia jambo zito baada tu ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufanya mabadiliko ya haraka kwa kuamua kumkabidhi timu kocha msaidizi ya timu hiyo, Juma Mgunda kuelekea katika mchezo dhidi ya Yanga inayoonolewa Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Simba imefanya mabadiliko hayo ya ndani baada ya…

MAYELE AMTUMIA SALAMU ZA KUTISHA ONYANGO
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amewachimba mkwara mabeki wa Simba akiwemo Josh Onyango kwa kuwaambia moja ya kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kuhakikisha anapata nafasi ya kuifunga timu hiyo katika Ligi Kuu Bara kuelekea mchezo wao wa Aprili 16, mwaka huu. Mayele ametoa kauli hiyo kufuatia rekodi yake katika Ligi Kuu Bara…

KINZUMBI WA TP MAZEMBE ATAJA SABABU 3 ZA KUSAINI YANGA
WINGA msumbufu wa TP Mazembe, Phillipe Kinzumbi ameweka wazi kuwa ameamua kukubali kumwaga wino Yanga kutokana na mambo matatu makubwa ambayo yamemvutia ndani ya timu hiyo. Nyota huyo usajili wake unatajwa kumalizwa na vigogo wa Yanga ambao walienda nchini DR Congo kwenye mechi ya marudiano kati ya Yanga na TP Mazembe ambayo ilipigwa Uwanja wa…

MERIDIANBET WAPIGWA TSH 54M NA MWARABU KUPITIA KASINO YA MTANDAONI
Sub-Heading: Jisajili Meridianbet leo upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo uupendao kuna Aviator, Poker, Titan Roulette na mingine mingi. Kujisajili bonyeza hapa https://a.meridianbet.co.tz/c/srILsF Kuna watu wana bahati sana kwenye Maisha, embu fikiria zali la Tsh milioni Hamsini na Nne na Laki Saba (54,700,000/=) linakuangukia wewe. Hii sio stori tena ni uhalisia kabisa…

VIDEO:ONYANGO APEWA ONYO NA YANGA/MUSONDA ATAMKIMBIZA
ONYANGO apewa onyo na Yanga/Musonda atakimbizwa

NEWCASTLE YATINGA TATU BORA
NEWCASTLE United wanaingia tatu bora wakiwa na pointi 50 baada ya kushinda dhidi ya Manchester United. Manchester wao wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi 50 wote wamecheza mechi 27. Kinara ni Arsenal ikiwa na pointi 72 wanawafuata Man City wakiwa na pointi 64 ila City wamecheza mechi 28. Mabao ya Newcastle United yalifungwa na…

AZAM FC KWENYE KAZI LEO NA MTIBWA SUGAR
LEO Azam FC inatupa kete yake kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Azam Complex. Mshindi ataungana na Singida ig Stars hatua ya nusu fainali kwa kuwa wao walishatangulia baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City. Azam FC ama Mtibwa Sugar kwa atakayepoteza mchezo wa leo…

YANGA NI NAMBA MOJA SHIRIKISHO AFRIKA
YANGA ni vinara wa kundi D katika Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ubao wa Uwanja wa TP Mazembe kusoma TP Mazembe 0-1 Yanga. Bao la ushindi ni mali ya Farid Mussa huku kipa Metacha Mnata ikiwa ni mchezo wake wa kwanza anga za kimataifa akikamilisha dakika zote 90 bila kutunguliwa. US Monastir ushindi wao…

KINZUMBI ATAJA SABABU ZA KUSAINI YANGA, MGUNDA AACHIWA MSALA
Kinzumbi ataja sababu 3 kusaini Yanga,Mgunda aachiwa msala wa Yanga ndani ya Championi Jumatatu

YANGA YAITUNGUA TP MAZEMBE NJE NDANI
TP Mazembe wametunguliwa mabao 4-1 dhidi ya Yanga wawakikilishi wa Tanzania,Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo wa kwanza Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 3-1 TP Mazembe. Mchezo wa pili Uwanja wa TP Mazembe ubao umesoma TP Mazembe 0-1 Yanga ikiwa ni hatua ya makundi. Mtupiaji ugenini ni Farid Mussa dakika ya 63 na kuifanya Yanga…

SINGIDA BIG STARS HAO NUSU FAINALI
SINGIDA Big Stars imekata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation kwa ushindi wa mabao 4-1 Mbeya City Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Liti ikiwa ni hatua ya robo fainali. Watupiaji wa Singida Big Stars ni Bruno Gomes katupia kambani mara mbili Bright Adjei kamba moja Sawa na Francy Kazadi….

TP MAZEMBE 0-0 YANGA
UWANJA wa TP Mazembe ubao unasoma TP Mazembe 0-0 Yanga ukiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Yanga wametinga hatua ya robo fainali tayari wanapambana kumaliza nafasi ya kwanza hatua ya makundi. TP Mazembe wao hawana cha kupoteza zaidi ya kutaka kulipa kisasi kwa mchezo ambao walipoteza Uwanja wa Mkapa ubao uliposoma Yanga 3-1 Yanga.

YANGA KUITEKA MAZEMBE
MENEJA Walter Harrison ameweka wazi kuwa watawateka wapinzani wao TP Mazembe na kuchukua pointi tatu ugenini kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi. Leo Yanga ikiwa inaongoza kundi D na pointi 10 baada ya kucheza mechi tano ina kete ya mwisho dhidi ya TP Mazembe mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mazembe. Ipo wazi…