
CHAMA KAMA CHAMA ANAKIMBIZA CAF
CLATOUS Chama mwamba wa Lusaka kwenye mashindano ya kimataifa anafanya vizuri ikiwa ni nembo kwa wazawa kushtuka na kuiga namna anavyofanikiwa. Anaingia kwenye orodha ya wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa CAF mchezo wa tano akiwa na mshikaji wake Sadio Kanoute hawa wote wapo ndani ya Simba na ikumbwe kuwa kwenye mechi ya nne alisepa…