
SAFARI YA KIHISTORIA YA PSG, SPURS KUVUNJA UKAME WA MATAJI NA REKODI MPYA KWA CHELSEA
Ligi ya mabingwa ulaya (Uefa Champions League) imetamatika Kwa kumshuhudia PSG akitwaa taji hilo mbele ya Inter Milan na kuwa bingwa mpya wa michuano hiyo huku akiweka historia ya kubeba kombe hilo kubwa zaidi ulaya kwa mara ya kwanza. Ligi ya mabingwa imetumia mfumo mpya kwa mara ya kwanza. Chini ya kocha Luis Enrique, PSG…