
BAADA YA MAKONDA KUANDIKA UJUMBE MTANDAONI, MANARA AMUWASHIA MOTO
BAADA ya jana, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuwajata anaodai wanataka kumuua, msemaji Yanga Haji Manara amemshukia Makonda. Manara ameweka komenti kwenye posti ya makonda na kuandika hivi: “Anaitwa Mungu, mkweli na kwa sasa hachelewi kujibu, leo unatafuta sympathy huku ukijua nn…