
KIMATAIFA, MWENDO WA KUSAKA REKODI
MCHEZA kwao hutunzwa ipo wazi lakini hata ugenini pia kuna uwezekano wa kucheza na kutunzwa ikiwa wawakilishi wa Tanzania kimataifa Simba na Yanga wakitumia makosaya wapinzani wao kwa umakini. Simba ina kibarua cha kutupa kete ya mwisho hatua ya makundi usiku wa kuamkia Aprili Mosi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca na…