
ZAWADI YA PASAKA HII HAPA
MBEYA City wamepoteza dhidi ya Namungo kwa kuacha pointi tatu mazima huku wakiwapa zawadi ya Pasaka mashabiki wao. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Namungo 2-1 Mbeya City. Mabao ya Namungo yamefungwa na Jacob Masawe dakika ya 23, Shiza Kichuya dakika ya 74 na Mbeya City ni Abdulazak dakika ya 88. Hiyo ilipigwa Uwanja wa…