
YANGA HII IMEENDAA, CHAMA ATOA TAMKO ZITO
YANGA hii imeendaaa, Chama atoa tamko zito Simba SC ndani ya Championi Jumamosi
YANGA hii imeendaaa, Chama atoa tamko zito Simba SC ndani ya Championi Jumamosi
HATIMAE ile safari ya Kibegi cha Simba imegotea kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro. Huu ni uzinduzi wa kwanza kwa Simba kufanya jambo hili kwa kuzindua uzi mpya kwenye mlima mrefu Afrika. Ikumbukwe kwamba Simba ni mabalozi wa utalii wa ndani na kwenye mechi za kimataifa wana uzi wao wenye nembo ‘Visit Tanzania’. Ni watu maalumu…
UONGOZI wa Simba umefafanua mbinu ilizotumia kuinasa saini ya kiungo Fabrice Ngoma ambaye alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za watani zao wa jadi, Yanga. Nyota huyo aliyekuwa anakipiga Al Hilal ya Sudan alitambulishwa na Simba Julai 14 na alisaini dili la miaka miwili kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira. Yanga wanatajwa kuwa…
KOCHA Mkuu wa Yanga Migueli Gamondi amezungumzia kuhusu mchezo wa kesho dhidi ya Kaizer Chiefs. Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya SportPesa Wiki ya Mwananchi ikiwa ni maalumu kwa kuwatambulisha wachezaji wapya na wale waliokuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23. Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji wazawa ikiwa ni pamoja na Jonas…
UONGOZI wa Simba umeibuka baada ya kukamilisha suala la kiungo wake Mzambia, Clatous Chama aliyegomea kambi ya nchini Uturuki kwa kutamka kuwa hawakuwa na hofu ya nyota huyo kutimka kikosini mwao. Hiyo ikiwa ni saa chache tangu kiungo huyo afikie makubaliano na klabu na kukubali kujiunga na kambi hiyo ya maandalizi ya msimu ujao iliyopo…
NYOTA wawili walioivuruga rekodi ya Yanga kufikisha mechi 50 bila kufungwa ndani ya ligi bado wapo ndani ya Ihefu baada ya kuongezewa mkataba. Yanga ilicheza mechi 49 bila kufungwa kwenye mechi za ligi ilipokutana na Ihefu ilishindwa kupata sare ama ushindi zaidi ya kufungwa mabao 2-1 na kutibua rekodi hiyo iliyoandikwa na Yanga. Wafungaji kwenye…
MUDA hausubiri kwa sasa ukiwa unazidi kwenda kasi tayari kwa ajili ya msimu mpya ambao upo njiani. Tunaona maandalizi kwa timu zote yanaendelea ikiwa ni pamoja na Namungo ambao wamezindua uzi wao mpya. Yanga wao walitangulia mapema na mazoezi wameanza wakiwa na tamasha la SportPesa Wiki ya Mwananchi, Julai 22 Uwanja wa Mkapa. Singida Fountain…
YANGA SCmpya balaa, kisa Luis, Banda aishika pabaya Simba ndani ya Championi Ijumaa
MTU tatu kwa mpigo zimetambulishwa ndani ya Simba rasmi baada ya kusaini dili jipya kuwa kwenye familia ya Msimbazi. Ni leo Julai 20 watatu wametangazwa kwa ajili ya kuwa ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Roberto Oliveira. Ni kiungo Idd Chilunda ambaye alikuwa ndani ya Azam FC lakini hakuongezewa mkataba wake kwa sasa…
KIUNGO mpya wa Yanga, Jonas Mkude ameanza kazi kuelekea msimu mpya wa 2023/24. Safari huu Mkude mzawa mwenye uwezo eneo la kiungo atakuwa na uzi wa Yanga baada ya kuibuka hapo akiwa huru. Nyota huyo alipewa mkono wa asante na Simba timu ambayo amecheza kwa muda wa miaka 13 kwenye soka la ushindani na kujiunga…
NYOTA kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Pacome Zouzoua ni mali ya Yanga. Nyota huyo ametambulishwa kuwa ni njano na kijani Julai 19,2023. NI miongoni mwa nyota wa Yanga wanaotarajiwa kuonyesha makeke kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Kaizer Chiefs. Itakuwa Wiki ya Mwananchi Julai 22 2023 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni siku…
AISHI Manula, ‘Air Manula’ kipa namba moja wa Simba taratibu anazidi kurejea kwenye uimara wake baada ya kuwa kwenye mwendelezo wa matiabu ya afya yake. Ikumbukwe kwamba kipa huyo ni chaguo namba moja la Kocha Mkuu, Roberto oliveira hakuwa sehemu ya kikosi kilichocheza Kariakoo Dabi ya mzunguko wa pili ni mikono ya kipa namba tatu…
UONGOZI wa Dodoma Jiji umebainisha kuwa upo sokoni kimyakimya kwa ajili ya kuboresha timu hiyo na umekamilisha usajili wa nyota Idd Kipagwile aliyekuwa Polisi Tanzania. Kwa sasa timu zote Bongo zinaendelea na usajili ikiwa ni Yanga ambayo imemtambulisha mzawa mmoja pekee Nickosn Kibabage mpaka sasa ambaye alikuwa ndani ya Singida Fountain Gate. Mbali na Yanga…
MWAMBA huyu hapa, Simba SC yashusha kiungo ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
“TUNA mikataba na bado tunahangaika. Suala la Clatous Chama limeniacha hoi. Mikataba ni kama vile haina maana Bongo. How? Tumeambiwa Chama ataenda Uturuki. Safi. Amesaini mkataba mpya? Hapana, kumbe alikuwa na mkataba. “Alitaka kuboreshewa maslahi yake. Walikuwa na makubaliano ya mdomo au katika vipengele vya mkataba? Kama kuna kiongozi mmoja alikuwa kando anavuta fegi akamwambia…
KLABU ya Singida Fountain Gate imezidua uzi mpya kwa ajili ya msimu wa 2023/24 unaotarajiwa kuanza Agosti 15. Timu hiyo uzi wake mpya una nembo ya Singida Big Stars jina ambalo lilikuwa linatumiwa na timu hiyo msimu wa 2022/23 kabla ya kubadilishwa. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein Masanza amesema kuwa…
KIUNGO Victor Ackpan raia wa Nigeria aliyekutana na Thank You ndani ya Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za mwisho kujiunga na Ihefu wapeleka maumivu kwa Yanga. Ikumbukwe kwamba Ihefu ni watibuaji wa rekodi ya Yanga msimu wa 2022/23 walipogotea kwenye mechi 49 bila kufungwa walipokutana na Ihefu walitibua mpango wao wa kufikia mechi ya 50….