
MAYELE ANA BALAA NA NYAVU HUYO
FISTON Mayele amefikisha jumla ya mabao 50 katika mashindano yote akiwa na kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Timu hiyo yenye maskani yake pale Jangwani inadhamiwa na kampuni ya SportPesa ambayo imeleta mapinduzi makubwa kwenye suala la michezo Bongo kwa kufungua njia kwa wadhamini wengine kuingia kuwekeza kwenye michezo. Ikumbukwe kwamba Mayele…