
SIMBA YAWAFUATA WAPINZANI KIMATAIFA KAMILI, KUPITA UTURUKI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Fadlu Davids mapema Septemba 11 kimekwea pipa kuelekea Libya kwa ajili ya maandalizi ya mwisho mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya wakiwa kamili gado. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 15 ambapo Simba wataanza ugenini na kurejea kwenye mchezo wa pili Uwanja wa Mkapa….