
UMAKINI HAUKWEPI MUDA WA MAVUNO
MAVUNO yanaongeza tabasamu hasa kila kitu kinapokwenda sawa ila inapokuwa tofauti hakuna ambaye anapata furaha katika hilo. Wahusika ni wote kuanzia mabingwa wa ligi ambao ni Yanga nao wana jukumu la kuongeza umakini kwenye usajili pamoja na maandalizi ya msimu ujao. Singida Fountain Gate nao inawahusu bila kuwasahau Namungo mpaka Geita Gold. Maisha mapya ndani…