
BEKI WA KAZI SIMBA ATAJWA KUIBUKIA SINGIDA
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba Joash Onyango anatajwa kuingia kwenye rada za Singida Fountain Gate yenye maskani yake Singida. Jioni ya Julai 8 2023 ilikuwa ikisambaa picha iliyokuwa inamuonyesha mtu aliyefanana na Onyango akiwa ameshika mkataba wa Singida Fountain Gate. Taarifa zinaeleza kuwa picha hiyo imevujisha na mmoja ya watu wanaohusika na…