
MAYELE ANASEPA YANGA, ISHU IPO HIVI
UNAAMBIWA sasa ni rasmi kuwa mshahara wa milioni 50 aliopewa Fiston Mayele unamhalalisha hatakuwa mchezaji tena wa Yanga msimu ujao baada ya kuomba kwenda kukipiga nchini Saudi Arabia huku Yanga wakilambishwa zaidi ya Bilioni 1.2 kama dau la usajili. Mayele alijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili kisha akaongezwa mmoja mwaka jana akitokea As…