
MAYELE AMTIKISA KOCHA USM ALGER, MTAMBO WA MABAO SIMBA
FAINALI CAF, Mayele aitikisa Afrika, mtambo wa mabao Simba mikononi mwa Robertinho ndani ya Championi Jumatatu
FAINALI CAF, Mayele aitikisa Afrika, mtambo wa mabao Simba mikononi mwa Robertinho ndani ya Championi Jumatatu
NYOTA wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu kutokana na kitendo cha kumchezea faulonyota wa Ruvu Shooting, Abal Kassim
MFUNGAJI mwenye kasi ya hatari kuwatesa makipa ndani ya Bongo msimu wa 2022/23 amepachika bao pekee la ushindi katika hatua ya nusu fainali ya pili ya Azam Sports Federation yupo Yanga. Anaitwa Fiston Mayele amemtungua Benedick Haule wa Singida Big Stars dakika ya 82 na kubadali usomaji wa ubao kwenye mchezo huo. Mpaka inagotea dakika…
KOCHA msaidizi wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa wanautazama kwa umuhimu mchezo wao ujao wa ligi baada ya kupoteza dhidi ya Namungo. Katika mchezo uliopita Azam FC ilipoteza pointi tatu dhidi ya Namungo kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ilipopoteza kwa kufungwa mabao 2-1. Ongala amesema kuwa watafanyia kazi makosa ambayo yamepita kupata…
UWANJA wa Liti inapigwa nusu fainali ya Azam Sports Federation ya kibabe. Singida Big Stars 0-0 Yanga kila timu ikipambana kusaka ushindi. Mshindi wa mchezo wa leo anakwenda kumenyana na Azam FC iliyotangulia katika hatua ya fainali mapema kabisa. Azam FC ilipata ushindi wa mabao 2-1 Simba mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
METACHA Mnata ameanza kikosi cha kwanza kwa Yanga Uwanja wa Liti dhidi ya Singida Big Stars, mchezo wa nusu fainali, Azam Sports Federationm Wengine ni Djuma Shaban Joyce Lomalisa Bakari Mwamnyeto Doumbia Zawadi Mauya Jesus Moloko Sure Boy Mzize Aziz KI Farid Mussa
JEMBE afungukia ishu ya Jonas Mkude Simba
BENCHI la ufundi la Singida Big Stars limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa nusu fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga. Timu hiyo inayonolewana Kocha Mkuu, Hans Pluijm inapambana na mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Pluijm amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo…
MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini imegotea katika hatua ya nusu fainali katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Sare ya kufungana mabao 2-2 Wydad Casablanca Waarabu kutoka Morocco imewaondoa kwenye reli wababe kutoka Afrika Kusini. Ni mabao ya Themba Zwane dakika ya 50 na Peter Shalulile dakika ya 79 kwa upande wa Mamelodi Sundowns ilikuwa hivyo. Wydad…
ISHU ya kukosa ubingwa miaka miwli kwa Simba Jembe amvaa Mo
KAMATI ya Tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzaniam (TFF) imefanya uteuzi wa washiriki katika makundi mbalimbali ya Tuzo hizo. Ni makundi matano ambayo ni Tuzo ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake Tuzo za Ligi Kuu Bara Tuzo za Utawala Tuzo za Ligi nyingine Hizi ni…
KAMATI ya Tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzaniam (TFF) imefanya uteuzi wa washiriki katika makundi mbalimbali ya Tuzo hizo. Ni makundi matano ambayo ni Tuzo ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake Tuzo za Ligi Kuu Bara Tuzo za Utawala Tuzo za Ligi nyingine Hizi ni…
UONGOZI wa Singida Big Stars umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lite, Mei 21 na mshindi wa mchezo huo atatinga hatua ya fainali. Ni Azam FC itakuwa inawatazama wababe hawa wawili kujua nani atacheza naye hatua ya…
KASI ya Yanga kwenye mashindano ya kimataifa ni darasa huru kwa kila mmoja apate kujifunza namna ya kutumia bahati na nafasi inayotokea. Hakuna timu ambayo haipendi kupiga hatua kila siku na kuandika rekodi mpya na nzuri hilo lipo wazi hivyo kwa sasa mfano bora wa kuzungumzia kwenye kizazi cha sasa ni Yanga. Mfumo ambao wameutumia…
MAYELE atikisa Afrika, Mbrazil Simba atangaza balaa zito ndani ya Championi Jumamosi
NI rasmi timu ya Ruvu Shooting imeshuka daraja na haitakuwa sehemu ya timu za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 huku timu za Polisi Tanzania, Mtibwa Sugar na KMC zikipambania hatma yao kwenye michezo miwili waliyobakisha kumaliza ligi. Kwa misimu ya hivi karibuni Ligi Kuu Bara imekua na ushindani mkubwa ambapo uwekezaji mkubwa uliofanywa…