
AZAM FC YAIPIGIA HESABU GEITA GOLD
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanapiga hesabu kuvuna pointi tatu ugenini dhidi ya Ken Gold mchezo unaotarajiwa kuchezwa Aprili 3 2025 Uwanja wa Sokoine ikiwa ni mzunguko wa pili. Baada ya mechi 23 ambazo ni dakika 2,070 Azam FC imekusanya jumla ya pointi 48 ikiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo, safu ya ushambuliaji imetupia mabao…