
Deuces Wild Pesa kama Zote!! Nafasi ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako
Nafasi ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako, lakini kuna kisa kimoja nataka ukifahamu kabla sijakupa mchongo kamili wa jinsi ya kutusua ulivyo. Kuna jamaa mmoja aliyeambiwa na Mungu achague atakacho lakini kwa sharti la kwamba kijakazi wake atapatiwa mara mbili ya alichokiomba. Basi yule jamaa kwa wivu na roho mbaya yake akafikiria na kuwaza kama…