
MAOKOTO DEILEE YA SPORTPESA MSHINDI KUTOKA ARUSHA AKOMBA MILIONI 15
KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri SportPesa kwa ushirikiana na mtandao wa Tigo kupitia huduma ya TigoPesa Oktoba 10 waliwazawadia washindi wanne zawadi. Katika washindi hao washindi wawili wamejishindia simu janja huku mmoja akikomba shilingi 1,000,000 na Diatus Ishengoma amefanikiwa kuwa mshindi wa shilingi 15,000,000 wa kampeni ‘Maokoto Deilee’. Mshindi wa milioni 15 za…