
MASHINE ZA KUWAMALIZA WAARABU ZATAJWA NA SIMBA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo wao dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 20. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kinaendelea na mazoezi kuelekea mchezo wa African Football League utakaochezwa Uwanja wa Mkapa….