
HASIRA ZA SIMBA KUHAMIA HAPA KISA KARIAKOO DABI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hasira zakukosa mchezo wa Kariakoo Dabi ambao ulitarajiwa kuchezwa Machi 8 2025 Uwanja wa Mkapa watazihamishia kwa wapinzani wao TMA Stars mchezo wa CRDB Federation Cup. Ikumbukwe kwamba mchezo huo ulikuwa ukisubiriwa kwa shauku kubwa kati ya Yanga na Simba, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) ilitoa taarifa…