
YANGA YATINGA HATUA YA 16 BORA YA KOMBE LA SHIRIKISHO
YANGA wametinga hatua ya 16 bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA CUP) kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Wanamangush, Coastal Union katika dimba la KMC Complex. Yanga Sc itachuana na Songea United kwenye hatua inayofuata ya michuano hiyo. FT: Yanga Sc 3-1 Coastal Union ⚽ 02’ Maxi ⚽ 15’ Maxi ⚽ 21’ Mzize…