
KUFUZU AFCON HAITOSHI, LAZIMA TUJIONDOE NAFASI YA KIBONDE
TAYARI kikosi cha timu yetu ya taifa, Taifa Stars kimefanikiwa kufuzu kucheza michuano mikubwa zaidi Africa maarufu kama Afcon kwa 2023. Mambo yatakuwa nchini Ivory Coast na katika kundi tulilopangwa licha ya kwamba inaonekana si uzalendo kusema lakini lazima isemwe kuwa timu inayopewa nafasi ya mwisho kabisa katika kundi hilo ni Tanzania. Yes, sisi ndio…