AZAM FC, TIMU BORA, BIDHAA BORA

MVURUGANO wa mipango hutibua mengi yanayotarajiwa kufanyika. Kufungashiwa virago katika anga la kimataifa kuliwarudisha chini na kuanza kujipanga upya kwa wakati ujao. Matajiri wa Dar, Azam FC wanazidi kujitafuta katika kuonyesha falsafa yao ya bidhaa bora, timu bora ndani ya Ligi Kuu Bara. Hasheem Ibwe, Ofisa Habari wa Azam FC ameweka wazi kuwa hesabu kubwa…

Read More

MBINU ZA KOCHA HUYU KUANZA KUTUMIKA SINGIDA

NI Ricardo Ferreira kutoka nchini Brazil mbinu zake zitaanza kutumika ndani ya kikosi cha Singida Fountain Gate kwenye kusaka ushindi. Mkataba wake ni wa mwaka mmoja kuwanoa mastaa wa Singida Fountain Gate inayoshiriki Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Meddie Kagere, Beno Kakolanya, Bruno Gomes. Yupo na msaidizi wake ambaye ni Andrew Barbosa hawa…

Read More

NIDHAMU NGUZO KUBWA KWA MAFANIKIO

KAZI ni kubwa kwa timu zote kuendelea kufanyia maboresho pale penye upungufu kupitia mechi zilizopita. Tumeona namna ligi ilivyo na ushindani hii ni kubwa na inaonyesha thamani ya ligi yetu ya ndani. Jambo la msingi ni kuona kunakuwa na mwendelezo mzuri kwa mechi zinazofuata. Ushindani ambao uliopita kwenye mechi za mwanzo kabla ya ligi kusimama…

Read More

JEMBE LILILOKUWA LINAWINDWA YANGA SAFARI KUMKUTA

INAELEZWA kuwa Francis Kazadi mshambuliaji wa Singida Fountain Gate huenda akapigwa panga katika dirisha dogo. Kazadi alikuwa anatajwa kuwa katika rada za Yanga mwisho akaibukia Singida Fountain Gate. Kwa msimu wa 2023/24 hajapata zali la kufunga kwenye mechi za ligi hivyo bado anajitafuta kuonyesha makali yake ndani ya timu hiyo. Nyota huyo alionyesha uwezo mkubwa…

Read More

KUFUZU AFCON HAITOSHI, LAZIMA TUJIONDOE NAFASI YA KIBONDE

TAYARI kikosi cha timu yetu ya taifa, Taifa Stars kimefanikiwa kufuzu kucheza michuano mikubwa zaidi Africa maarufu kama Afcon kwa 2023. Mambo yatakuwa nchini Ivory Coast na katika kundi tulilopangwa licha ya kwamba inaonekana si uzalendo kusema lakini lazima isemwe kuwa timu inayopewa nafasi ya mwisho kabisa katika kundi hilo ni Tanzania. Yes, sisi ndio…

Read More

MAMBO NI MAGUMU KWELIKWELI

PUMZI ndefu inavutwa na kushushwa taratibu mambo yanapokuwa tofauti na vile ambavyo yalipangwa kuwa. Ngumu kuwa na furaha katika nyakati ngumu ambazo hazidumu. Kwenye ulimwengu wa msako wa pointi tatu muhimu kuna timu ambazo mwanzo wa ligi mambo yamekuwa ni magumu kwelikweli kuambulia ushindi. Hapa tunakuletea baadhi ya timu zinazopambania kombe namna hii:- Coastal Union…

Read More

KILA LA KHERI TAIFA STARS KIMATAIFA

MCHEZO wa kimataifa wa leo kwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni muhimu kupambana kupata matokeo. Kete ngumu na itakuwa na ushindani mkubwa. Wachezaji ni muda wa kuonyesha thamani ya kile ambacho kipo kwenye miguu yenu. Muda ambao ulipatikana kwa maandalizi unatosha na sasa ni kazi kuonesha ukweli kwenye vitendo. Nafasi yenu ni…

Read More

MAMILIONI KIGANJANI MWAKO NA AVIATOR YA PARIMATCH

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri Parimatch Tanzania imewataka wateja wake kuchangamkia fursa za kuburudika kwa kucheza mchezo rahisi na mwepesi wa Aviator ambao umeshika kasi kwa kupendwa na wadau wengi wa kubeti ndani ya Kasino ya Parimatch. Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa Parimatch, Ismael Mohamed wakati alipokuwa akizungumza jijini Dar es Salaam na kusema…

Read More

SIMBA HESABU KUBWA KWA AL AHLY

ZIKIWA zimesalia takribani siku nane kabla ya Simba hijacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya African Football League, uongozi wa timu hiyo umesema watawaonesha wapinzani wao kwamba Simba ni timu ya aina gani. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Oktoba 24,…

Read More