
MBABE WA YANGA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR
ZUBER Katwila, aliyekuwa kwenye benchi Uwanja wa Highland Estate ubao uliposoma Ihefu 2-1 Yanga anatajwa kuwa katikà hesabu za mabosi wake wa zamani Mtibwa Sugar. Baada ya kupewa mkono wa asante ndani ya Ihefu Oktoba 14 2023 Nyerere Day kocha huyo alikuwa anatajwa kuibukia ndani ya Singida Fountain Gate. Dili lake la kuibukia hapo lilikwama…