PACOME ATEMBEZA MKWARA HUKO

KIUNGO wa Yanga, Pacome amesema kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi kwenye mechi ambazo wanacheza uwanjani wakiwa hawana muda wakupoteza kwa sasa. Katika mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 0-5 Yanga huku Pacome akichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo na alitoa…

Read More

BEKI HUYU ATAJWA KUWA KWENYE RADA ZA YANGA

BEKI wa kazi  Wilson Nangu miongoni mwa wachezaji ambao wanavuja jasho ndani ya JKT Tanzania ambayo ipo ndani ya 10 bora anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Kariakoo ambao ni Simba na Yanga wote wakiwa katika hesabu za kuinasa saini yake. Ipo wazi kuwa katika eneo ambalo JKT Tanzania haijawa imara sana ni eneo…

Read More

WATU WANAJIPIGIA MKWANJA TU AVIATOR

Mchezo pendwa wa kasino wa Aviator unaendelea kuhakikisha wadau na wapenzi wa michezo ya wanapiga mamilioni ya kutosha, Kwani hivi karibuni imefanikiwa kutoa mshindi mpya ambaye amejishindia kiasi cha milioni 44. Mteja huyo anayefahamika kwa utambulisho wa HN amefanikiwa kushinda kiasi hicho cha pesa kwa kutumia dau dogo tu, Kwani bwana HN aliweka kiasi cha…

Read More

MNYAMA KWENYE MZIZIMA DABI TAMBO ZATAWALA

BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC ambao ni Mzizima Dabi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Februari 24 2025. Simba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza walipata ushindi wa mabao 2-0 ubao ukifunguliwa na Leonel Ateba ambaye alifunga bao lake la kwanza…

Read More

YANGA WAZIDI KUIKIMBIZA SIMBA

VINARA wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, kasi yao imezidi kuwa kwenye kwenye eneo la ushambuliaji huku wakivuna pointi tatu nje ndani mbele ya Mashujaa na ndani ya dakika 180 wamevuna pointi sita msimu wa 2024/25. Kwenye idadi ya mabao ya kufunga Yanga imezidi kuongeza hazina yake ikiwapoteza Simba kwenye…

Read More

Meridianbet Kukupa Mkwanja Wa Kutosha Leo

Jumapili ya leo inaweza kua ya shangwe kwako kwani itakwenda kupigwa michezo ya kutosha ambapo unaweza kushinda mkwanja mzito wa mpaka milioni 300 kwa tiketi moja tu kupitia (Maximum payout) ya Meridianbet. Leo Max payout inaweza kukunufaisha kwani kutakua na michezo mikali katika ligi mbalimbali barani ulaya kuanzia pale ligi pendwa nchini Uingereza, Italia, Hispania,…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO, MBUZI TAMBO TUPU

LIGI namba nne kwa ubora inaendelea kuchanja mbunga ambapo l Februari 22 kunatarajiwa kuchezwa mechi mbili kali za kukata na shoka kwa wababe kuwa ndani ya uwanja. Issa Liponda maarufu kama Mbuzi ambaye ni Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa wapo tayari kusepa na pointi tatu muhimu ugenini kutokana na maandalizi ambayo wamefanya….

Read More

MKALI WA MABAO YA MBALI KUWAVAA SIMBA

KUELEKEA Mzizima Dabi mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa wababe hawa wawili kuna mkali wa mabao ya mbali yupo ndani ya kikosi cha Azam FC huenda akawapa tabu wapinzani wao wakikutana ndani ya dakika 90 za kuvuja jasho. Ni Yoro Diaby nyota wa Azam FC anashikilia rekodi yakuwa nyota aliyefunga bao kwa umbali mrefu…

Read More

YANGA IMEMPOTEZA MNYAMA NAMNA HII

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamewapoteza watani zao wa jadi Simba kwenye eneo la ushambuliaji kwa kuwa na safu kali ya ushambuliaji ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani msimu wa 2024/25. Baada ya kucheza jumla ya mechi 20 ambazo ni dakika 1,800 safu ya ushambuliaji ya Yanga imetupia mabao 50 ikiwa…

Read More