YANGA WASIMIKA MNARA MWINGINE HUKU

MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation Yanga wamewafungashia virago katika raundi ya pili Hausing FC ya kutoka Njombe katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Dakika 45 za mwanzo mchezo ulikuwa ni wa upande mmoja kwa Yanga kumiliki zaidi na kufunga mabao 4-0 Hausing ambao angalau waliongeza ushindani kipindi cha pili walipofungwa bao…

Read More

SIMBA:NJOONI MUMUONE CHAMA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Mkapa watamuona Clatous Chama waliyemzoea kwenye mechi za kimataifa. Chama amekuwa akipeta kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa akiwa na hat trick moja dhidi ya Horoya alipofunga mabao matatu lakini hajawahi kuwatungua watani zao wa…

Read More

NATHANIEL CHILAMO ATAMBULISHWA AZAM FC

NI beki wa kulia, Nathaniel Chilambo ambaye alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting amepata changamoto mpya. Hivyo bei huyo msimu ujao wa 2022/23 atakuwa na uzi wa Azam FCpale viunga vya Azam Complex. Chilambo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuweza kuitumikia timu hiyo ambayo inauhakika wa kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika baada ya…

Read More

KICHUYA APELEKWA YANGA

WAKATI ikitajwa kwamba mabosi wa Simba wanalijadili jina la Shiza Ramadhan Kichuya kwenye usajili wao msimu ujao, baba mzazi wa kiungo huyo, Ramadhan Kichuya amebainisha kwamba, anataka kumuona kijana wake akijiunga na Yanga SC. Baba Kichuya amesema mwanawe huyo atakuwa na wakati mzuri zaidi akiichezea Yanga na siyo Simba ambayo amekuwa na mapenzi nayo kwa…

Read More

KMC KWENYE KIBARUA KINGINE TENA

IKIWA imefungashiwa virago kwenye Kombe la Azam Sports Federation ubao wa Uwanja wa Manungu uliposoma Mtibwa Sugar 1-0 KMC kuna kibarua kingine kizito kinawakabili. KMC chini ya Kocha Hitimana Thiery haijawa na mwendo mzuri kwenye mechi zake za ligi na sasa matumaini ya kutwaa taji la Azam Sports Federation yameyeyuka baada ya kuondolewa hatua ya…

Read More

ISHU YA MAKAMBO KUSUGUA BENCHI YAMEIBUKA HAYA

BAADA ya Mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo kushindwa kuanza katika mchezo hata mmoja kikosini hapo msimu huu, kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi ameweka wazi sababu za nyota huyo kushindwa kupenya kikosi cha kwanza. Makambo tangu atue Yanga msimu huu, ameshindwa kupenya katika kikosi cha kwanza katika michezo mitano ya ligi kuu, huku akimuacha Fiston Mayele akitamba. Akizungumza na Spoti Xtra, Kocha Nabi alisema sababu kubwa ya Makambo kushindwa kucheza ni kutokana…

Read More

Mbagala Rangi 3 Yafurahia Ujio wa Meridianbet

Nancy Ingram ambaye ni mhariri mkuu wa kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet akiongozana na timu yake nzima leo hii walifika Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa miamvuli kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Ikiwa bado hali ya hewa haijakaa vizuri kutokana na hizi mvua ambazo zinaendelea kunyesha Meridianbet wameona kuna haja ya kutoa miamvuli kwa wafanyabiashara kwaajili ya…

Read More

HIZI HAPA ZITAKUWA KWENYE KIVUMBI LEO

KIVUMBI na jasho kinatarajiwa kutimka leo kutokana na mzunguko wa pili kuendelea katika Ligi Kuu Bara 2022/23. Timu moja tayari imeshashuka daraja ambayo ni Ruvu Shooting inayonolewa Mbwana Makata na mabingwa ni Yanga. Bado timu moja inasakwa itaungana  Ruvu Shooting Championship na mbili zitacheza hatua ya mtoano. Kesi ya ubingwa imeshafungwa ambapo mabingwa ni Yanga…

Read More