FURAHIA MWAKA MPYA NA MKWANJA WA KUTOKA SHINDANO LA EXPANSE

Unaweza kuufungua mwaka kibabe kabisa kwa kushinda kitita cha milioni moja kupitia shindano la Expanse linalohusisha michezo ya kasino, Cheza michezo ya kasino ya Expanse kupitia Meridianbet uweze kuufungua mwaka shangwe. Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili…

Read More

PRINCE DUBE NA NYOTA HAWA WATATU KUIKOSA YANGA

UKISUBIRIWA muda tu kwa sasa kwa matajiri wa Dar, Azam FC kumenyana na Yanga leo Uwanja wa Mkapa nyota wake wanne wanatarajiwa kuukosa mchezo wa leo kutokana na sababu mbalimbali. Mchezo wa leo ni wa Ligi Kuu Bara ambapo kila timu inapambana kuweza kufikia malengo iliyojiwekea kwa msimu wa 2021/22. Kwa mujibu wa Vivier Bahati,…

Read More

MORRISON ASIMULIA NAMNA ALIVYOFUNGA KIMATAIFA

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison mtupiaji wa bao lililoipa timu hiyo pointi moja amesema kuwa kwake ni furaha kufanya hivyo kwa ajili ya timu. Ilikuwa jana Februari 20 Morrison akitokea benchi wakati Simba ikiwa ipo nyuma kwa bao 1-0 aliweza kuingia na kufunga bao. Morisson aliingia dakika ya 64 akichukua nafasi ya Yusuph Mhilu…

Read More

NAMUNGO 1-1 SIMBA

MAJIBU ya alichokuwa anafikiria kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim anayo kwenye mikono yake. Ubao wa Uwanja wa Majaliwa unasoma Namungo 1-1 Simba ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Shuti la kwanza kwa Simba kulenga lango dakika ya 27 lilizama mazima nyavuni huku mtupiaji akiwa ni Jean Baleke. Bao la Namungo ni mali…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Agosti 20,2022 ambapo kuna mechi nne zitachezwa kusaka pointi tatu muhimu. Ikumbukwa kwama jana Agosti 19 ulichezwa mchezo mmoja, Uwanja wa Uhuru na ubao ulisoma Ihefu 0-1 Namungo FC. Leo ni Coastal Union v Yanga Polisi Tanzania v KMC Simba v Kagera Sugar

Read More

UKUTA WA SIMBA PASUA KICHWA

KATIKA mechi tano mfululizo walizocheza Simba hawajaambulia clean sheet, (kucheza bila kuruhusu bao) zaidi ya kutunguliwa mabao sita. Makosa yapo katika eneo la kiungo anapocheza Mzamiru Yassin, Fabricne Ngoma, beki anapocheza Henock Inonga, Che Malone, mlinda mlango Ally Salim, Ayoub Lakred. Ni Ally Salim kosa lake kubwa ni katika kupangua mipira langoni mwake mingi inaishia…

Read More