
KUONDOKA KWA ZIMBWE ITAKUWA PIGO KUBWA KWA SIMBA
Mchambuzi wa soka nchini, Thomas Mushi, amesema kuwa iwapo mlinzi tegemeo wa Simba SC, Zimbwe JR, ataondoka kwenye kikosi hicho, basi itakuwa pigo kubwa kwa klabu hiyo yenye rekodi kubwa ya mafanikio nchini. Kauli hiyo imekuja kufuatia kuibuka kwa tetesi zinazoeleza kuwa Zimbwe JR tayari amemalizana na watani wa jadi Yanga SC, na huenda akatangazwa…