
BARNABA FEAT DIAMOND PLATNUMZ – SALAMA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
MSANII wa Bongo Fleva, Barnaba Classic ameachia Video ya wimbo wake wa ‘Salama’ ameshirikisha msanii Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’
MSANII wa Bongo Fleva, Barnaba Classic ameachia Video ya wimbo wake wa ‘Salama’ ameshirikisha msanii Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’
Kampuni ya Meridianbet imezindua rasmi mchezo mpya wa slot unaoitwa Gates of Olympia, kutoka kwa wabunifu wa michezo ya kasino mtandaoni – Expanse Studios. Mchezo huu wa slot umebeba mandhari ya kipekee ya hadithi za Kigiriki na unawaleta wachezaji kwenye safari ya kusisimua katika ulimwengu wa miungu. Ukiwa na muundo wa 6×5, Gates of Olimpia…
Msimu wa UEFA unaendea ukingoni ambapo kesho tutashuhudia Fainali ya wababe wawili kutoka Ufaransa na Italia, yaani ni PSG vs Inter Milan, huku wewe ukiwa na nafasi ya kuchukua pesa kwa kubashiri mechi hii itakayopigwa pale Ujerumani dimba la Allianz Arena. Inter Milan msimu huu walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuchukua Scudetto lakini walishindwa…
NYOTA wawili kutoka Azam FC ambao wanatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga SC wametajwa na bosi wa kutoka mitaa ya Jangwani. Ni Feisal Salum kiungo mshambuliaji ambaye ni kinara kwa utengenezaji pasi za mwisho akiwa nazo 13 na Giblil Sillah mwenye pasi mbili za mabao. Mbali na pasi mbili za mabao alizonazo Sillah…
SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kesho Mei 31 2025 watakuwa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwenye msako wa ushindi. Ni mchezo wa hatua ya nusu fainali CRDB Federation Cup inawakutanisha wababe hao waliotoka kuvaana kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo uliochezwa Mei 28 2025 baada ya dakika…
Dhamira ya Kampuni Kuondoa Ubaguzi, Kukuza Uongozi wa Wanawake, na Kuwezesha Jamii Kimataifa Katika dunia inayobadilika kwa kasi, kampuni ya Meridianbet imesimama kidete kuwa sehemu ya suluhisho kwa kuhakikisha kuwa kila mtu — bila kujali jinsia, hali ya afya, au asili — anapata nafasi sawa ya kustawi. Hii ni sehemu ya dhamira ya kampuni kama…
Lamine Yamal amesaini mkataba utakaomuwezesha kuendelea kubakia na FC Barcelona hadi mwaka 2030, klabu hiyo ilitangaza Jumanne , Maelezo ya mkataba huo – ambao ulitiwa saini katika ofisi za klabu mbele ya rais Joan Laporta na mkurugenzi wa michezo Deco – hayakutolewa na Barca, lakini ripoti nyingi kutoka kwa vyombo vya habari vya Uhispania zinasema…
Jembe ameweka wazi kuwa tumepoteza fainali tatu CAF ambapo Simba SC kapoteza fainali mbili, Yanga SC fainali moja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi kuu Tanzania bara, Steven Mguto Amezungumza mara baada mchezo ligi kuu kumalizika kwenye uwanja kcm complex kati Simba dhidi Singida black star Mnyama akiondoka na alama tatu . Mguto Amesema wao kama bodi ya ligi kuu wameshapanga ratiba ya kumalizika Kwa msimu 2024/2025 na mchezo dabi Kariakoo ukiwepo utakao chezwa…
Ingia kwenye Dunia ya Miungu, Ushindi, na Mamilioni Kupitia GATES OF OLIMPIA – Mchezo Mpya Kutoka Expanse Studios! Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studios, inakuletea mchezo mpya wa sloti wa kusisimua – GATES OF OLIMPIA. Huu si mchezo wa kawaida – ni mlango wa kweli wa neema na utajiri kutoka kwa miungu wa Kigiriki! Ukiwa…
Simba SC imevuna pointi tatu kwenye mchezo wa ligi mzunguko wa pili dhidi ya Singida Black Stars, Mei 28 2025, Uwanja wa KMC Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba SC 1-0 Singida Black Stars ikiwa ni mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa kwa wababe hawa wawili. Bao pekee la ushindi limepachikwa na Steven Mukwala…
BENCHI la ufundi la Simba SC limebainisha kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Black Stars wanatambua utakuwa ni mgumu kutokana na uimara wa wapinzani wao ila wapo tayari kupambana kupata pointi tatu muhimu. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids imetoka kucheza mechi mbili za fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane…
MSHAMBULIAJI wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Misri ambao wanahitaji saini yake. Mzize ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud kafunga mabao 13 msimu wa 2024/25 akiwa ni mzawa namba moja kwa washambuliaji wenye mabao mengi. Taarifa zinaeleza kuwa…
Mabingwa wa Odds kubwa Tanzania Meridianbet wamekupa nafasi kubwa leo hii ya kupiga pesa kwenye mechi ya fainali ya Conference League kati ya Real Betis vs Chelsea. Unasubiri nini kubashiri mechi hii? Real Betis ambao wanakipiga kule LALIGA wao wamemaliza nafasi ya 6 huku wakiwa hawajawahi kuchukua Kombe lolote lile la Ulaya hivyo leo hii…
Meridianbet, kinara wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania, imezindua rasmi mchezo mpya wa kipekee unaoitwa GATES OF OLYMPIA, mchezo ambao umewasha moto Ulaya na sasa umefika Tanzania kupitia jukwaa lako pendwa, Meridianbet! ⚡ NI NANI ATAKAYEPITA KATIKA MILANGO YA OLYMPIA NA KUSHINDA MAMILIONI? Mchezo huu unakupeleka katika ulimwengu wa Miungu wa Kigiriki ambapo mungu wa…
KIPA wa Simba SC, Aishi Manula inaelezwa kuwa yupo kwenye rada za mabosi wa Azam FC ambao wanahitaji saini yake. Ipo wazi kwamba Manula kwa msimu wa 2024/25 hajawa chaguo la kwanza ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids. Katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara hajaanza langoni mchezo hata mmoja na kwenye…
Fainali ya CONFERENCE LEAGUE itapigwa kesho huku ukitumia nafasi ya wewe kutengeneza pesa nayo ikiwa ni kubwa zaidi. Tumia BET BOOST leo mtanange wa Betis vs Chelsea unufaike sasa. Je unajua BET BOOST ni nini? Hii ni ofa ambayo hutolewa na Kampuni za kubashiri ambapo viwango vya ushindi vya dau huongezwa kuliko ambavyo ilitakiwa kuwa…