
BODABODA NA DEREVA BAJAJI WAFURAHIA UJIO WA MERIDIANBET
Mambo vipi mteja wa Meridianbet? Hivi unajua kuwa Meridianbet ndio kampuni pekee Tanzania ambayo hurejesha kwenye jamii karibu kila mwezi kile kidogo wakipatacho. Hivyo leo hii wao wameamua kwenda maeneo ya Mbezi na Kimara na kutoa reflectors kwa madereva hao ambazo zitawasaidia. Safari hiyo iliongozwa na Mhariri wa Meridianbet Nancy Ingram akiwa na timu yake…