
YANGA YAFUNGA MJADALA KARIAKOO DABI
RASMI Uongozi wa Yanga umetangaza kufunga mjadala wa kuzungumzia kucheza mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba ambao ulihairishwa na Bodi ya Ligi Kuu Bara ambao umepangwa kupigwa Juni 15, mwaka huu Uwanja wa Mkapa, Dar. “Sisi tuna mawasiliano na bodi ya ligi, kuelekea dabi sisi tumeshatoa msimamo wetu na tumeshaweka ‘fixtures’ zetu za kumaliza…