MERIDIANBET YAFANYA MAGEUZI KIMYA KIMYA: MIRADI 80 YA UENDELEVU YATEKELEZWA NDANI YA MIEZI MITATU TU YA 2025

Kwa ushirikiano wa karibu na jamii, kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Meridianbet yajikita katika kulinda mazingira na kuleta mabadiliko halisi. Katika kipindi ambacho changamoto za mazingira zinaendelea kukua, kampuni ya michezo ya kubahatisha Meridianbet imethibitisha kuwa maendeleo ya biashara hayawezi kuendelea bila kuzingatia ustawi wa jamii na mazingira. Ikiwa sehemu ya Golden Matrix Group…

Read More

YANGA SC WANAUTAKA UBINGWA WAO

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga SC wamebainisha kuwa mpango mkubwa ni kutwaa taji hilo kwa mara nyingine kutokana na uimara wa kikosi walichonacho. Yanga SC imeandika rekodi ya kutinga fainali ya CRDB Federation Cup mara tano ikiwa ni timu ambayo imekuwa kwenye mwendelezo mzuri katika kuandika rekodi kali ambazo bado hazijavunjwa. Ipo wazi…

Read More

NYOTA MWINGINE YANGA SC KUSEPA

BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki taarifa kueleza kuwa anaondoka ndani ya kikosi hicho kuelekea Wydad inaelezwa kuwa kuna nyota mwingine tena anaondoka katika kikosi hicho. Aziz Ki amekuwa kwenye mwendo mzuri ndani ya Yanga SC akiwa kacheza jumla ya mechi 114 na kutoa pasi 57 za mabao huku akifunga jumla ya…

Read More

Meridianbet Inakupa Nafasi ya kuibuka bingwa leo

Siku ya kupiga mzigo wa maana iemefika. Odds kibao na machaguo zaidi ya 1000 zinapatikana leo. Weka jamvi lako na ubashiri hapa. SUPER LEAGUE pale Uswizi inatarajiwa kuendelea ambapo Yverdon-Sport atamualika kwake FC Zurich ambao wanashika nafasi ya 7 na mwenyeji wake nafasi ya 12. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.15 kwa 3.05. Jisajili hapa. Wakati kwa upande wa Grasshoper  Club Zurich yeye…

Read More

AZIZ KI REKODI ZAKE BONGO BALAA

AZIZ Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga SC rekodi zake ndani ya timu hiyo ni balaa kutokana na kuwa miongoni mwa nyota waliotoa pasi nyingi za mabao kwenye mechi za ushindani akiwa na jezi namba 10. Ki ndani ya kikosi cha Yanga SC rekodi zinaonyesha kuwa ni mechi 114 alicheza akitoa jumla ya pasi 57 na…

Read More

SINGIDA BLACK STARS HESABU ZAKE KWA SIMBA SC

UONGOZI wa Singida Black Stars umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao zote ni kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba SC ambao ni mzunguko wa pili. Singida Black Stars kwenye msimamo wa ligi ipo nafasi ya nne ikiwa imekusanya jumla ya pointi 53 inatarajiwa kumenyana na Simba SC iliyo nafasi ya…

Read More

MERIDIANBET YALETA FARAJA NA MSAADA MAKUMBUSHO NA MWANANYAMALA KWA FAMILIA ZENYE HIBA

Katika hatua nyingine ya kuonyesha moyo wa kusaidia jamii, Meridianbet imefika maeneo ya Makumbusho na Mwananyamala kwa ziara ya kurudisha kwa jamii, kwa lengo la kuwahamasisha na kuwasaidia familia mbalimbali zilizo katika mazingira magumu. Kampuni hii inayoongoza kwenye ubashiri mtandaoni imeendelea kutekeleza ahadi yake ya kurudisha kidogo kwa jamii kwa kuwapatia msaada wa vyakula na…

Read More

HII HAPA ORODHA YA WAKALI WA KUCHEKA NYAVU

WACHEZAJI ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora wanapambana katika kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja msimu wa 2024/25. Kwenye eneo la ufungaji kuna wakali katika kucheka na nyavu hapa tunakuletea orodha yao namna hii:- Jean Ahoua-15 Jean Ahoua  kiungo mshambuliaji wa Simba SC yeye ni namba moja akiwa katupia…

Read More