
SIMBA SC 1-3 SINGIDA BLACK STARS CRDB FEDERATION CUP, MEI 31 2025
SINGIDA Black Stars imekata tiketi ya kucheza fainali kwa CRDB Federation Cup kwa ushindi wa mabao 3-1 mbele ya wenyeji wao Simba SC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Mei 31 2025. Singida Black Stars walianza kwa hesabu ndani ya dakika 20 walipopata bao la kuongoza kupitia kwa Jonathan Sowah dakika ya 17. Dakika…