
SIMBA SC vs SINGIDA BLACK STARS VITA YA POINTI TATU
BENCHI la ufundi la Simba SC limebainisha kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Black Stars wanatambua utakuwa ni mgumu kutokana na uimara wa wapinzani wao ila wapo tayari kupambana kupata pointi tatu muhimu. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids imetoka kucheza mechi mbili za fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane…