
MTAMBO WA MABAO YANGA WATOA NENO
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa kazi kubwa ni kusaka ushindi katika mechi zao. Ni Fiston Mayele mwenye mabao 16 ndani ya ligi na mabao matano katika Kombe la Shirikisho Afrika ametupia mabao matano kuanzia hatua ya makundi mpaka robo fainali. Mei Mosi kikosi…