


WIKENDI NDIO HIYO INAISHIA, MAN UNITED VS ARSENAL KITAWAKA LEO!
Wikendi ndio hiyo inaishia huku nafasi ya wewe kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet ikiwa imefika kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Kule Hispania LALIGA itendelea pia ambapo Atletico Madrid atakuwa ugenini kuchuana dhidi ya Getafe. Mwenyeji yupo nafasi ya 14 na mgeni wake…

WANANCHI WATOA KIKOSI KUMKABILI MNYAMA
WANANCHI Yanga licha ya taarifa kueleza kuwa hakutakuwa na mchezo dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa Machi 8 2025 wamefika uwanjani na kutoa kikosi kazi kitakachoikabili Simba kusaka pointi tatu muhimu. Kwenye kikosi hicho Aziz Ki ameanzia benchi na kiungo Clatous Chama huku ingizo jipya Ikangalombo naye akiwa benchi. Kikosi chenyewe kipo namna hii:- Djigui…

YANGA NDANI YA UWANJA WA MKAPA
YANGA ndani ya Uwanja wa Mkapa, Machi 8 2025 kwa ajili ya mchezo wa Kariakoo Dabi ambao umeahirishwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB). Licha ya taarifa kutolewa na TPLB kuhusu kuahirisha mchezo namba 184 kati ya Yanga na Simba ambao ni Kariakoo Dabi, wenyeji Yanga wamewasili Uwanja wa Mkapa. Mapema Yanga kupitia…

JUMAMOSI YA LEO NI SIKU YA WEWE KUONDOKA NA TABASAMU
Jumamosi ya leo ni siku ya wewe kuondoka na tabasamu kubwa kabisa ndani ya Meridianbet kwani kuanzia pale EPL, LALIGA, SERIE A na ligi nyingine zinaendelea. Suka jamvi lako na ubashiri hapa. Italia SERIE A leo patashika nguo kuchanika Parma Calcio atamualika kwake Torino ambao wapo nafasi ya 11 na mwenyeji wake akiwa nafasi ya…

BODI YA LIGI YATANGAZA KUAHIRISHA MCHEZO WA DERBY YA KARIAKOO
Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati yake ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya wenyeji, Yanga Sc dhidi ya Simba Sc uliopangwa kuchezwa leo Machi 8, 2025 majira ya saa 1:15 usiku katika dimba la Benjamin Mkapa. Taarifa ya leo Machi 8, 2025…

YANGA KAMILI KWA KARIAKOO DABI, KIPENGELE HAKUNA
MABOSI wa Yanga wamebainisha kuwa hakuna kipengele kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa leo Machi 8 2025, saa 1:15 Uwanja wa Mkapa. Uongozi wa Simba usiku wa kuamkia Machi 8 2025 walitoa taarifa kwamba hawatashiriki mchezo kutokana na kutopewa ruhusa ya kufanya mazoezi Uwanja wa Mkapa siku moja kabla ya mchezo. Wakati hayo…

TAMKO KUTOKA BODI YA LIGI SUALA LA KARIAKOO DABI
BAADA ya Simba kutoa taarifa kuwa wanagomea mechi kwa kuwa walizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkapa hivyo hawatacheza mchezo wa Machi 8 2025, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) Steven Mguto amesema wanalifanyia kazi. Ikumbukwe kwamba mchezo wa leo ni mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza…

SIMBA YATOA TAMKO KUELEKEA DERBY YA KARIAKOO ‘YATANGAZA KUSUSIA MECHI’ LEO KWA MKAPA
Klabu ya Simba imesema imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya Timu hiyo kuelekea Mchezo wa Ligi Kuu NBC dhidi ya Yanga, Simba ikiwa timu mgeni ambapo kufuatia suala hilo Simba imesema haitoshiriki mchezo husika. Taarifa iliyotolewa na Menejimenti ya Simba imesema kwa mujibu wa kanuni 17 (45) ya Kanuni za Ligi Kuu Bara,…

MKANDAJI KIBU D APATA KITETE ISHU YA KARIAKOO DABI
KIBU Dennis kiungo wa Simba maarufu kwa jina la Kibu Mkandaji amepata kigugumizi kuhusu mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 8 2025. Mkandaji lilipata umaarufu baada ya kufunga kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi uliochezwa Uwanja wa Mkapa alipomtungua Djigui Diarra kwa shuti kali akiwa nje ya 18 ….

AZIZ KI HATIHATI KUIKOSA DABI, KOCHA ASHUSHA PRESHA
KUELEKEA Kariakoo Derby, Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 58 kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 22 wanatarajiwa kumenyana na Simba iliyo…

IJUMAA YA KIJANJA HII HAPA, MECHI KIBAO KUTIKISA USIKU WA LEO!
Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Uingereza CHAMPIONSHIP itaendelea kwa mchezo mkali kwelikweli, Norwich City atamualikwa kwake Oxford United ambao walipoteza mechi yao iliyopita, huku kwa mwenyeji yeye alitoa sare mechi yake…

MERIDIANBET FOUNDATION YAONGEZA MCHANGO WAKE KWA ELIMU
Meridianbet Foundation, taasisi ya kijamii ya Meridianbet, sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imezindua kampeni ya kimataifa ya uchangiaji vitabu, ikiwa ni sehemu ya juhudi zake za kusaidia maktaba ndogo na vituo vya jamii. Kampeni hii inalenga kutoa vitabu vya elimu, kuhamasisha usomaji, na kusaidia kuendeleza utamaduni katika maeneo mbalimbali duniani. Wafanyakazi wa Meridianbet…

KWA ARAJIGA WAKIPATA PENATI HAWA HAPA WATAZIPIGA
BADO siku mbili Kariakoo Dabi ichezwa Uwanja wa Mkapa Machi 8 2025 ambapo joto limezidi kupanda kwa kila pande kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ni Yanga ambao katika mzunguko wa kwanza walikomba pointi tatu mazima baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 0-1 Yanga hivyo mchezo wa mzunguko…

TRUCK SUITS ZATOLEWA KWA MABONDIA WANAOENDA SERBIA
Katika juhudi za kukuza na kuhamasisha usawa wa kijinsia katika michezo, Meridianbet imetoa truck suits hii leo kwa wanawake mabondia wanaojiandaa kushiriki michuano ya ngumi huko Serbia. Kampuni hiyo ya michezo ya kubashiri imetoa msaada wa kipekee kwa wanawake hawa kwa kugawa sidiria za lori maalum ambazo zitawasaidia katika safari zao na kuonyesha uungwaji mkono…

ATEBA NA MUKWALA NGOMA NZITO SIMBA
MASTAA wawili kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids ngoma ni nzito kutokana na kuliamsha dude kwenye eneo la ufungaji katika mechi ambazo wamechza. Ni Machi 8 2025 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuwa kazini kwa wababe wawili Yanga na Simba kukutana uwanjani kwenye msako wa pointi tatu huku…

KASINO YA FRUIT SALAD 100 USHINDI 95.06%
Ni wakati mwingine tena wa kufahamu kuhusu Michezo ya Kasino ya Mtandaoni iliyopo Merdianbet. Fruit Salad 100 unakupa nafasi ya kushinda kwa kiwango cha 96.06% Bonasi za kasino na alama nyingi za ushindi. Fruit Salad 100 ni kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Gaming Global. Katika mchezo huu, kuna ishara mbili maalum. Majokeri huonekana…