
YANGA KUMSHUSHA MGHANA
INAELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya winga Mghana Augustino Okra ambaye ni winga. Nyota huyo anatajwa kuwa kwenye hesabu za mwisho kumalizana na mabosi hao kwa ajili ya kuanza changamoto mpya. Okra aliwahi kucheza ndani ya kikosi cha Simba alikwama kuonyesha uwezo wake kwa wakati huo mpaka alipokutana na Thank You….