KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA COASTAL UNION

HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Coastal Union ya Tanga, Uwanja wa Mkwakwani. Huu ni mchezo wa ligi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 kwenye mchezo utakaochezwa saa 12:30:- Aboutwalib Mshery Yao Attouhula Kibabage Bacca Nondo Aucho Maxi Muda Musonda Aziz KI Zouzoua

Read More

SIMBA KAMILI KUKABILIANA NA NAMUNGO

DANIEL Cadena, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba amesema wamefanya maandalizi mazuri kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru, Novemba 9 2023. Ikumbukwe kwamba Simba imetoka kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5 Yànga, Novemba 5 2023. Cadena ambaye aliwahi kuinoa Azam FC kwa upande…

Read More

WAKALI WA 5 G KWENYE KAZI NYINGINE LEO TANGA

MABINGWA mara 29 wa Ligi Kuu Bara Yànga leo wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Chini ya Miguel Gamondi, Novemba 5 2023 walishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5 Yànga. Kocha huyo ameweka wazi kuwa kuna ushindani mkubwa kwenye ligi na mechi ambazo wanacheza zimeongozana hivyo ugumu upo….

Read More

KOCHA MPYA SIMBA AANZA KAZI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa sasa upo kwenye mikono salama ya kocha wa muda ambaye amechukua mikoba ya Roberto Oliveira. Kocha Oliveira ambaye alikomba tuzo ya kocha bora ndani ya ligi Oktoba kutokana na mwendo wake bora alikutana na mkono wa asante Novemba 7 ikiwa ni baada ya kupoteza mchezo wa ligi dhidi…

Read More

GAMONDI MASTA KUWABADILISHIA MBINU WAPINZANI

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa anaingia uwanjani kulingana na aina ya wapinzani ambao atakutana nao ndani ya dakika 90. Novemba 5 Yanga ilikomba pointi tatu mazima dhidi ya watani zao wa jadi Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga. Pointi tatu kibindoni na…

Read More

PESA ZINAMIMINIKA LEOUSIKU MECHI ZA UEFA, PIGA MKWANJA

Habari mteja wetu pendwa wa Meridianbet, kama kawaida leo hii usiku wa Ulaya unaendelea huku Meridianbet wakiwa tayari wamekuwekea mechi za kupiga mkwanja pamoja na ODDS za kibabe hapo. Unachotakiwa kufanya ni kuingia Meridianbet haraka na kuanza kubashiri. Kaatika dimba la San Siro ambapo AC Milan atakuwa mwenyeji wa PSG. Milan yupo nafasi ya mwisho…

Read More

MKANDAJI KAKANDWA KARIAKOO DABI NYUMBANI

ASIYEKUBALI kushindwa si mshindani wanasema hivyo. Ilikuwa ni jasho la kazi kwa wanaume 22 kusaka ushindi Uwanja wa Mkapa na mwisho ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga. Wakandaji Simba wakiwa nyumbani walikandwa na wapinzani wao Yanga kwenye msako wa pointi tatu muhimu.Hapa  tunakuletea namna kazi ilivyokuwa namna hii:- Aishi Manula Mchezo wake wa kwanza ndani ya…

Read More

OGOPA MAPAPELI SALAH HAUZWI

JURGEN Klopp amesema kuwa Liverpool bado hawajapokea ofa kutoka Saudi Arabia kwa ajili ya Mohamed Salah, huku akisisitiza kuwa staa huyo ambaye amejitolea kwa 100% klabuni hapo hauzwi. Salah, 31, anawavutia mabingwa wa Saudi Pro League, Al Ittihad, ambao wanaripotiwa kuandaa dau la pauni milioni 100 ili kumng’oa Anfield majira haya ya joto. Hata hivyo…

Read More

BREAKING: MR OBJECTIVE SIMBA AFUNGASHIWA VIRAGO

RASMI Roberto Oliviera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na timu hiyo pamoja na kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Timu hiyo itakuwa chini ya Daniel Cadena akishirikiana na Seleman Matola. Mchezo wa mwisho kukaa benchi kwa kocha huyo ilikuwa ni Novemba 52023 Uwanja wa Mkapa. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma…

Read More

MAPUNGUFU YA SIMBA V YANGA YAFANYIWE KAZI

KILA mmoja ameona mapungufu amabyo yalikuwa kwenye timu zao katika mchezo wa Kariakoo Dabi. Simba na Yanga walikuwa na kazi kuonyeshana ubabe wao. Mwisho mshindi alipatikana na yule ambaye alipoteza alifahamika.Weka kando masuala ya matokeo bado kuna mapungufu ambayo yalionekana kwenye mchezo huo. Kuanzia kwa wachezaji namna walivyokuwa wakitimiza majukumu yao. Kufanya kosa moja kwenye…

Read More

WILDFIRE WINS: MCHEZO HUU UTAKUPA USHINDI KIRAHISI

Kipindi hiki cha kukaribia Msimu wa Sikukuu unaweza kujikusanyia mavuno mengi kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, hili ni shamba kubwa la michezo ya kasino ya mtandaoni inayotoa maokoto ya kutosha kila unapocheza. Moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni inayolipa Zaidi ni Wildfire Wins ni mchezo wa kasino wenye safuwima tano zilizopangwa kwenye safu…

Read More