
SIMBA NA HESABU ZAO HIVI
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kufanya vizuri kwenye mechi zote ambazo watacheza. Kwa sasa Simba inashiriki Kombe la Mapinduzi ambapo imetinga hatua ya robo fainali ikivunja rekodi yake mbovu ya kukwama kufika katika hatua hiyo 2023. Ni mchezo dhidi ya Jamhuri itakuwa…